Jizi
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 300
- 304
Tendo hilo hufanywa na wezi ambao huwa wanaamini kwa kufanya hivyo hakuna mtu anaweza kuamka na kuwafukuzia. Hakuna zaidi ya hilo na ni common hata huku kaskaziniHabari za mchana jamani.
Leo nimeamka nimekuta kinyesi cha binadamu tena mtu kanya usiku kiko fresh kabsa, nikiwaza ilivyo ngumu mtu kuingia ndan ya compound au kuruka geti na kuingia na kisha kunya hapo ndo nawaza,kwa sababu ni ngumu sana,nilijaribu kuwashirikisha wapangaj wenzangu nao wanaduwaa ila kuna mmoja kanieleza hyo hali ni ushirikina.
Nakuja kwenu najua watu humu mna elimu mbalimbal naombe mnieleze kwa wanaojua implication ya kukuta mtu kanya mlangoni. Cc mshana jr na wengine