Nimekuta kinyesi cha binadamu mlangoni kwangu

Nimekuta kinyesi cha binadamu mlangoni kwangu

Ushirombo

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
3,558
Reaction score
2,711
Habari za mchana jamani.

Leo nimeamka nimekuta kinyesi cha binadamu tena mtu kanya usiku kiko fresh kabsa, nikiwaza ilivyo ngumu mtu kuingia ndan ya compound au kuruka geti na kuingia na kisha kunya hapo ndo nawaza,kwa sababu ni ngumu sana,nilijaribu kuwashirikisha wapangaj wenzangu nao wanaduwaa ila kuna mmoja kanieleza hyo hali ni ushirikina.

Nakuja kwenu najua watu humu mna elimu mbalimbal naombe mnieleze kwa wanaojua implication ya kukuta mtu kanya mlangoni. Cc mshana jr na wengine
 
Habari za mchana jamani. leo nimeamka nimekuta kinyesi cha binadamu tena mtu kanya usiku kiko fresh kabsa,nikiwaza ilivyo ngumu mtu kuingia ndan ya compound au kuruka geti na kuingia na kisha kunya hapo ndo nawaza,kwa sababu ni ngumu sana,nilijaribu kuwashirikisha wapangaj wenzangu nao wanaduwaa ila kuna mmoja kanieleza hyo hali ni ushirikina.Nakuja kwenu najua watu humu mna elimu mbalimbal naombe mnieleze kwa wanaojua implication ya kukuta mtu kanya mlangoni. Cc mshana jr na wengine
Mzizi mkavu, mshana junior hembu kuja pande hii nasikia kuna jinsi ya kuyafanya jamaa atavimbaje makalio ngoja waje
 
Ushirikina at work!

Hapo washafanya yao,usipuuzie omba ,pangua!
Tumia damu ya Yesu,coz hapo kuna maneno yametamkwa,ibada imefanyika !!

Unless kila kitu kitaharibika!
Si unajua kazi ya kinyesi mkuu?!
 
Iliwahi kutokea sehemu moja dukani kwa jirani yangu, alikuta mavi ya binadamu mabichi kabisa kwenye mlango wa duka lake, akasema wala haangaiki kuyatoa aliyeyaweka atakuja kutoa mwenyewe, baada ya muda mzee mmoja naye anaduka jirani akajakutoa yale mavi kwa aibu kubwa sana, watu walihisisha lile tukio na ushirikina na kumshtumu yule aliyetoa ila mimi niliona kama jambo la kawaida.
 
Habari za mchana jamani. leo nimeamka nimekuta kinyesi cha binadamu tena mtu kanya usiku kiko fresh kabsa,nikiwaza ilivyo ngumu mtu kuingia ndan ya compound au kuruka geti na kuingia na kisha kunya hapo ndo nawaza,kwa sababu ni ngumu sana,nilijaribu kuwashirikisha wapangaj wenzangu nao wanaduwaa ila kuna mmoja kanieleza hyo hali ni ushirikina.Nakuja kwenu najua watu humu mna elimu mbalimbal naombe mnieleze kwa wanaojua implication ya kukuta mtu kanya mlangoni. Cc mshana jr na wengine

Wewe inaonesha una kiburi na kujisikia sana katika eneo unaloishi. Huna mahusiano mazuri na majirani zako. Una dharau, hushiriki katika shughuli za kijamii. Inaonesha una nyodo kali sana. Kwahiyo, ndiyo maana wananchi wakorofi wameamua kukufanyia hicho walichokifanya ili kukutia adabu, kwamba unatakiwa kujirekebisha. Kinyume na hapo, tarajia makubwa zaidi ya hicho ulichokipata. Jirekebishe.
 
Aisee, kwa mimi sijui lakufanya ila niliwahi sikia jamaa ofisini anasema shangazi yake aliwahikukitana na hali kama hio alivyozoa aliumwa sana sana
 
Hujaibiwa chochote nyumbani, isijekuwa labda ni mwizi alikuja kuiba akaumwa na tumbo la kuharisha
 
Najaribu kupata picha jinsi jamaa alivyokuwa anatumbua mimacho kuona kama kuna mtu anamuona uku akijikakamua kutoa kimba
 
Tafuta majivu ambayo yamoto moto kisha mwagia kwenye hicho kinyesi utakuwa umemaliza kazi
 
Huyo ni mwanga, tena anakujua na unamjua, anajaribu kukutisha aone kwenu umeaga au upo kizembe zembe tu.

Yazoe kisha kazana na maombi, kwani atarudi tena huyo.
 
Habari za mchana jamani.

Leo nimeamka nimekuta kinyesi cha binadamu tena mtu kanya usiku kiko fresh kabsa, nikiwaza ilivyo ngumu mtu kuingia ndan ya compound au kuruka geti na kuingia na kisha kunya hapo ndo nawaza,kwa sababu ni ngumu sana,nilijaribu kuwashirikisha wapangaj wenzangu nao wanaduwaa ila kuna mmoja kanieleza hyo hali ni ushirikina.

Nakuja kwenu najua watu humu mna elimu mbalimbal naombe mnieleze kwa wanaojua implication ya kukuta mtu kanya mlangoni. Cc mshana jr na wengine

Choma Moto, majivu katupe baharini ndio mwisho wa uchawi wote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom