Baada ya maandalizi ya mapenzi mubashara mimi ndie nilieanza kwenda kuoga baada ya mimi kumaliza ndipo zamu ya kimada changu ndio nilipoanza kuwa mpekuzi wa ghafla katika mkoba nakutana na Maharage ya kichina ndani ya mkoba aisee sikula mzigo nilipata Hernia ya ghafla na mdada alistaahabu na kunipa pole na asubuhi nilisepa ghafla na hadi jana nimemkimbia sipatikani kwa number yake.
Hizo ARV alikuwa ametembea nazo kwa ajili ya tahadhari, ameze mara tu baada ya kukupa utamu kabla masaa 72 hayajapita kwani ana taarifa kuwa una ngwengwe mleta thread.
Ivi ingekua kweli unayo yasema ungepata wapi nguvu ya kuandika? umekua member jana leo unaanza na uwongo, halafu tabia gani mbaya mwanamme mzima kupekura handbag ya mwanamke wako mna share hiyo handbag nae? shame on U..