Nimekunywa soda chafu..!!? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimekunywa soda chafu..!!?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chitemo, Mar 3, 2012.

 1. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,292
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ndugu wanaJF dakika chache zilizopita nimeenda dukani kununua soda ya STONEY TANGAWIZI, ila cha kushangaza nikiwa nakunywa ghafla nikashtuka kuona ndani ya soda kuna kizibo kimekunjwa na kinaonekana kimeshka kutu. Nikaamua kumimina soda kwenye bakuli naye pia nikaona ina rangi ya kikahawia inayoambatana na kuchafu mweusi.!! Nipo cross road wandugu juu ya afya yangu sijui hata nifanyeje!? Kuweni makini na hz soda si salama salimini.
   
 2. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,292
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  picha ya tukio nawatumia muda si mrefu.
   
 3. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,069
  Likes Received: 10,426
  Trophy Points: 280
  pole sana mkuu.
  kama upo safarini nakuonea huruma maana itabidi ukatishe safari coz utakuwa pia nawe unaendesha piki piki yako lol....
   
 4. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #4
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,292
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ahsante ndugu yangu, but sipo safarini nipo home nacheck game ya Arsenal na Liverpool still naogopa kiafya.!
   

  Attached Files:

 5. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #5
  Mar 3, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Pole sana kiongozi. Laiti ungekuwa umekunywa usiku/sehemu yenye giza kwa kutumia mtindo wa tarumbeta nadhani hicho kizibo kingekuletea madhara mara mbili!
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Mar 3, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,217
  Trophy Points: 280
  pole sana, miaka kadhaa nyuma kwenye 2007 hivi nilikunywa stone tangawizi, nikaiona ya ajabu, nilipoimimina kwenye glass nikakuta sponge.

  Toka siku hiyo nimepunguza sana kunywa soda, na ninapokunywa huwa naichunguza kwanza
   
 7. C

  COSTOMER Member

  #7
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  pole, ila uchafu uko wp mbona siuoni maana naona chupa, vizibo na sahani!!! nidadavulie kaka
   
 8. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #8
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,292
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  uchafu niliumwagia ndani ya sahahi na wote una rangi ya kahawia.
   
 9. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #9
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,292
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  for long tym nilikuwa sijanywa soda nikasema ngoja leo ninywe leo yakaibuka hayo. I swear to my Dog sitakunywa tena haya masoda.!
   
 10. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #10
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  wana sheria tuambieni kama kuna uwezekano wa kuwafungulia mashtaka hiyo kampuni inayozalisha hiyo soda na jinsi gani ya kuifadhi kithibitisho?
   
 11. Janja PORI

  Janja PORI JF-Expert Member

  #11
  Mar 3, 2012
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 808
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  me ni wakili ambulance chaser vipi upo tayari twende tuandike demand letter tupewe pesa.
  cha kufanya kesho mrng nenda hospital mwambie daktari akuandikie unaumwa tupo na umepata tatzo ili tuwe na cause opf action ni pm nkusaidie
   
 12. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #12
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,292
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Chitemo wa Makanga kuryaku LIKES your COMMENT.!
   
 13. d

  dmatemu JF-Expert Member

  #13
  Mar 3, 2012
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 587
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 60
  Ingekua ulaya ungeishtaki kampuni husika na ukalipwa pesa nyingi sana tu. Bongo kimeo tupu.
   
 14. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #14
  Mar 3, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Janja Pori imekula kwenu maana mie ni mwanasheria wa kampuni inayozalisha hiyo soda ya stoney tangawizi. Nitathibitisha kuwa mteja wako hajapata madhara yoyote kutokana na soda aliyokuwa ila wewe ndio umemfundisha kusema uongo ili alipwe. Hahahahahaaa you are not a good ambulance chaser!
   
 15. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #15
  Mar 3, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Pole sana ndugu yangu. Mi nilishaacha siku nyingi kunywa soda au bia kwenye chupa ambazo mteja anarudisha na zinarudishwa kiwandani kujazwa upya. Kuna rafiki yangu alikunywa bia nusu mafuta ya taa. Jaribu kunywa walau ya kopo na bia ambazo chupa zake ni hazirudishwi.
   
 16. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #16
  Mar 3, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  kunywa soda zote lakin si stone tangawizi,nilikuwa nazipenda sana hizo soda lakini baada ya kutokewa na tukio kama lako few days ago nikaziacha kabisa,nadhani hawako makini hao jamaa
   
 17. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #17
  Mar 3, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,069
  Likes Received: 10,426
  Trophy Points: 280
  inaelekea unampenda sana mbwa wako mpaka umeamua kumgeuza Mungu khaa..
   
 18. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #18
  Mar 3, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,069
  Likes Received: 10,426
  Trophy Points: 280
  kweli wewe ndo JANJA PORI.
   
 19. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #19
  Mar 3, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,069
  Likes Received: 10,426
  Trophy Points: 280
  inaelekea umebobea face book!!
   
 20. Janja PORI

  Janja PORI JF-Expert Member

  #20
  Mar 3, 2012
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 808
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  piga kimya tutakupa chochote
   
Loading...