Nimemsikiliza Ray, nimemuelewa kwa sehemu, utata unakuja pale aliposema anakunywa lita 5 kwa siku kwa ulinganifu wa chupa 4 mpaka 5 zenye lita 1.5 zile kubwa. Ukipiga hesabu haiwi 5 kama alivyosema, zinakuwa sita mpaka 7.5 kwa siku. Naona anajichanganya tena