UGAIDI: Mtanzania ahukumiwa maisha jela New York

The Informer

Senior Member
Jun 14, 2010
119
29
Mzanzibari huyu anaozea jela. Hawa marekani si wamkamate Osama basi mbona wameshukia bango Mtanzania huyu?

Judge sentences ex-Guantanamo detainee to life

Jan 25, 2011

(Reuters) - A U.S. judge on Tuesday sentenced to life in prison Ahmed Khalfan Ghailani, the first Guantanamo detainee to face a civilian trial, denying defense calls for leniency over his treatment by the CIA.

Ghailani, 36 was accused of joining the 1998 al Qaeda bomb attacks on U.S. embassies in Kenya and Tanzania that killed 224 people. A U.S. jury found him guilty of one count of conspiracy to damage or destroy U.S. property with explosives but cleared him of 284 other conspiracy and murder charges.

His case in New York City has been seen as a test of President Barack Obama's approach to handling the 173 terrorism suspects held at the U.S. naval base at Guantanamo Bay, Cuba, including Khalid Sheikh Mohammed, the self-professed mastermind of the September 11, 2001 attacks on the United States.

Obama vowed during his 2008 presidential campaign to close the prison at Guantanamo Bay, which has drawn international condemnation for the treatment of detainees. But his efforts have met stiff opposition from critics who argue the prison is needed in the battle against Islamist extremists.

In a few short statements before handing down the sentence on Tuesday, Judge Lewis Kaplan dismissed defense claims throughout the trial that Ghailani was a dupe running errands for men he later discovered were al Qaeda operatives.

"Mr. Ghailani knew that people would die," Kaplan said.

Kaplan also declined to grant Ghailani any leniency on grounds he was repeatedly tortured while in U.S. custody and shared valuable intelligence with interrogators.

At trial, the defense team conceded Ghailani bought gas tanks and a truck later used in the attacks but said he had no idea what they would be used for.
 
Pole sana gailan mungu atatuhukumia kwa hawa maadui wa uislam wanao ua watu kujitafutia utajiri kwa njia ya kujitanua kieneo la africa mashariki na dunia kwa ujumla. Ivi kwani gaidi hadi atoke zanzibar? Watanganyika wao sio?
 
Informer asante kwa hii post. Nilikuwa sijaangalia hukumu kama imeshatoka........I will have to uptodate my footnotes on my paper..

Many thanks mkuu!
 
Huyu jamaa ameingiza Tanzania kwenye kundi la nchi zenye magaidi! Visa zao watakuwa wagumu sana. Shame on you Ahmed Khalfan Ghailani
 
Pole sana gailan mungu atatuhukumia kwa hawa maadui wa uislam wanao ua watu kujitafutia utajiri kwa njia ya kujitanua kieneo la africa mashariki na dunia kwa ujumla. Ivi kwani gaidi hadi atoke zanzibar? Watanganyika wao sio?

Duh!

Watu wengine jamani....unashindwa hata kuanzia wapi..ku-comment!
 
Gailan hakuhukumiwa kwa kua ni muisilamu...hakuhukumiwa kwa kua ni Mzanzbar as well...alihukumiwa kwa kua alifanya kosa..naomba tusichanganye mambo hapa
 
Pole sana gailan mungu atatuhukumia kwa hawa maadui wa uislam wanao ua watu kujitafutia utajiri kwa njia ya kujitanua kieneo la africa mashariki na dunia kwa ujumla. Ivi kwani gaidi hadi atoke zanzibar? Watanganyika wao sio?

acha ushabiki..... mbona huwapi pole ma mia watu waliokufa kwenye shambulio la 1998.... historia ya ugaidi kwa tanzania hii ndiyo first incident na ina weka record since we know Tanzania... na wamarekani wanasema ni mtanzania.... haya ya utanganyika yako...stick to the point...... apeal to the sentence if you are radical to the jurry
 
Pole sana gailan mungu atatuhukumia kwa hawa maadui wa uislam wanao ua watu kujitafutia utajiri kwa njia ya kujitanua kieneo la africa mashariki na dunia kwa ujumla. Ivi kwani gaidi hadi atoke zanzibar? Watanganyika wao sio?
gaidi lingine hili hapa,utajilipua lini ustaadh na wapi ili tujiandae:A S-fire1:
 
Pole sana gailan mungu atatuhukumia kwa hawa maadui wa uislam wanao ua watu kujitafutia utajiri kwa njia ya kujitanua kieneo la africa mashariki na dunia kwa ujumla. Ivi kwani gaidi hadi atoke zanzibar? Watanganyika wao sio?

wewe ulitaka Ghailani atokee sehemu gani ya 'Tanganyika' ili uridhike na hukumu?
 
Dah yaani me namhurumia mamake manake kila nkimsikia anahojiwa bbc namwona kama mamangu vil, she is so tender and loving. Ni maumivu but we can't control the behaviors of our beloved ones, we can only advise and no more!
 
watu kama huyo mtabe ni wapumbavu sana!
Yani wewe ulitaka Tanganyika akamatwe nani sasa kwa ugaidi?
Au nani aliachwa kushtakiwa kwa sababu ni mtanganyika?

Wazanzibari kumbe wavivu wa kufikiri eh?
me naona ame samehewa sana,in short angenyongwa kama sadam hussein tujue hayupo kabisa duniani
 
Pole sana gailan mungu atatuhukumia kwa hawa maadui wa uislam wanao ua watu kujitafutia utajiri kwa njia ya kujitanua kieneo la africa mashariki na dunia kwa ujumla. Ivi kwani gaidi hadi atoke zanzibar? Watanganyika wao sio?

tena kasamehewa manake alipaswa kunyongwa kwani adhabu ya kuua ni kifo.Huyu bwana anadhani kahukumiwa kwa vile ni muislamu? sheria haibagui dini au kuonea dini,nadhani huyu ni kilaza tena kilaza wa madrasa.nampa pole mamake leo kanihuzunisha alipoongea na BBC.
 
Pole sana gailan mungu atatuhukumia kwa hawa maadui wa uislam wanao ua watu kujitafutia utajiri kwa njia ya kujitanua kieneo la africa mashariki na dunia kwa ujumla. Ivi kwani gaidi hadi atoke zanzibar? Watanganyika wao sio?

Poa tu maana angelipua Dar hata Watz tungeathirika,mshahara wa dhambi..................
 
Huyu jamaa ameingiza Tanzania kwenye kundi la nchi zenye magaidi! Visa zao watakuwa wagumu sana. Shame on you Ahmed Khalfan Ghailani

Ur The Greatest thinker.Watz kama nchi nyingine duniani wote tunatafuta maisha ulaya na US,sio Pakstan,Yemen,Kuwait,Afughanstan,Somalia,Irak etc Jamaa lilijazwa ujinga eti likiua watu litapata thawabu mbinguni.shame on it, limetuchafua.
 
at least he should now serve his sentence maana 13 yrs without trial was unbearable to his mum and the good thing she was ready for the worst
 
Pole sana gailan mungu atatuhukumia kwa hawa maadui wa uislam wanao ua watu kujitafutia utajiri kwa njia ya kujitanua kieneo la africa mashariki na dunia kwa ujumla. Ivi kwani gaidi hadi atoke zanzibar? Watanganyika wao sio?

Duh! Aliyemuelewa huyu jamaa anifafanulie... nimerudia mara kadhaa sioni jamaa anamaanisha nini?
 
Back
Top Bottom