Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,494
- 100,897
To be honest mwanzoni ilikua hivyo lakini kwasasa walaaaaaa maana hata hapo zamani wakati nazichungulia sijawahi kukuta SMS mbaya mwishoni nikajiona mjinga na nikabaini kuwa UAMINIFU ni zaidi ya simu.....since then hhhhahahahahahaa niko huruuuuuuuuuuuuuu
embu nieleweshe hapa, wewe unaogopa tu pressure ndo maana husogelei simu yake ila moyon huwa unatamn kuchungulia syo?