Prince Akeem
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 886
- 382
Kuna mzee anasema eti saa zingine sio vizuri mke kusoma sms za mume au mume kusoma sms za mke kwenye simu. Akiwa na maana kwamba unaweza kuta mke wako ana mambo yake ya kike ana wasiliana na mashoti zake na kwa mwanaume unaweza kuta ana vitu anawasiliana na masela wake. Kwa mlio kwenye ndoa,huwa mnasoma sms za wake/wame zenu kwenye simu?