..nimekumbuka mbali sana..

Wagagagigikoko, chonya wa chilonwa! Urembo wa ndonya!
 
kumbe wengi hapa ni wa juzi juzi....
 
1. Mandawa na manenge
2. Mzee tola
3. Mfalme mwenye masikio kama ya punda
4. Sizitaki mbichi hizi..
5. Safari yenye mkosi.
6. Siku ya gulio Katerero.
Daah! Lakin hii haichekeshi wadau. Hebu na wewe kumbukia enzi zako za primary..

7. Jogoo aliyesema
8. Mandawa na manenge
 
sikulamba sukari,ninaye ndege mzur mrembo wa kupendeza....,hekaya za abnuwas,mpepo,kange,majaliwa,faraja mchoyo
 
1. Mandawa na manenge
2. Mzee tola
3. Mfalme mwenye masikio kama ya punda
4. Sizitaki mbichi hizi..
5. Safari yenye mkosi.
6. Siku ya gulio Katerero.
Daah! Lakin hii haichekeshi wadau. Hebu na wewe kumbukia enzi zako za primary..

muwa wazamisha meli.,fuata nyuki ule asali,
 
SIKUDHANI mtunzi mheshimiwa Mwakyembe MB na naibu waziri.
 
Someni kwa furaha, bulicheka na wagagagigikoko. hekaya za abunuwasi
 
Hebu kumbuka hili shairi:
...
Sikiri mimi maskini, Uvivu wangu nyumbani, Ukiwa huu njiani, Nakufa hapa kwanini?
...
Sadiki sasa ashiba, chakula kingi kwa baba,,, [daah, hebu endelea kama unakumbuka, mm nimesahau...]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…