Nimekumbuka Manyara

ExCellent wewe ni mmbulu/Muiraq kabisaaa, hata kiswahili ni cha huko, kwahiyo nenda kwenu kusalimia
 
I like those comments. Jaman nashukuruni sana kwa hizi pics maana zimenikumbusha Mbulu/Haydom kwetu ukizingatia nimeshindwa kwenda x-mass kipindi hiki.
Big up friends and Happy festive season!
 
I like those comments. Jaman nashukuruni sana kwa hizi pics maana zimenikumbusha Mbulu/Haydom kwetu ukizingatia nimeshindwa kwenda x-mass kipindi hiki.
Big up friends and Happy festive season!

Hata sherehe nyumbani huji bana?tulikuwa tumekuandalai mbuzi wa kurost!thus ngoja nijiservie mwenyewe maana umeamua kupotezea!
 
MTEI.JPG
 
Basi la Mtei Express lililokuwa likitoka Babati kuelekea mjini Arusha linavyonekana baada ya kuinuliwa katika ajali iliyotokea jana eneo la Kisongo
 
Weka bana picha ya Sabena au Sunvic bus from Arusha Mjini through Karatu to Mbulu via Talwi to Bashay via Dongobesh to Yaeda Chni and destination Hydom unanikumbusha mbali sana
 
Back
Top Bottom