Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,037
- 168,683
"Ningalijua huja mwisho wa safari", ulipopata wazo la kumdanganya my wife, ndio ulipopata fursa ya kuonja nyama. Hujasema mkuu ukilinganisha woo na mbuzi, nani zaidi
Leo kwenye hangaika zangu za kutwa nzima nikaamua nirudi nyumbani.
Mama watoto hakutaka nitoke hivyo basi akaniambia mechi ya Brazil Vs Mexico niiangalizie nyumbani.
Nikakaa nyumbani nikiangalia mechi mwenyewe kama jini Njabagumu.
Katikati ya mpira nikaona siinjoi chochote, nikaaga kuwa naenda kununua vocha dukani.
Nikaingia taratibi baa ya jirani, nikaagiza Serengeti moja baridi sana, nikaipiga fasta kama mwanariadha aliyetoka kumaliza marathon akutanapo na jagi la maji. Haikunitosha niaagiza ya pili, kabla haijaja mara ghafla mama watoto akapiga simu "vp darling mbona unakawia?" ndio lililokua swali lake, nikamjibu niko na mwenyekiti wa mtaa tuna mazungumzo.
Nikaagiza mbuzi, daima huwa napenda jembe (wataalam wa mbuzi wanaelewa ninachokiongea). Baada ya nusu saa ikawa mezani.
Nikapiga kama vipande kumi, nikaagiza Serengeti nyingine ya baridi.
Nikiwa katikati ya zoezi la pombe nyama, mara wakaingia Polisi wakiwa na sare zao na kuelekea jikoni.
Huko wakawaweka chini ya ulinzi watumishi wote na kufanya msako mkali. Jikoni vimekamatwa vichwa viwili vya mbwa na ngozi mbili.
Na t ayari mie nsha kula huyu kiumbe mlinzi jamani.
KUlia nataka, kucheka nataka, najitapisha sitapiki.
Kuweni makini wenzangu, yasije kuwakuta yaliyonikuta.

Nyama haramu ni ya mtu tu.
Zingine zote ni halali.
Na nguruwe je ? mbona Biblia inasema kuwa "Nguruwe ni najisi kwenu.
Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao" ?
Biblia inasema hivi,
"Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.
Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu." (Mambo ya Walawi 11:07-08)
Nilidhani mbuzi, sijaona tofauti. Sijui sababu y aile bia niliyopiga fasta???
Na nguruwe je ? mbona Biblia inasema kuwa "Nguruwe ni najisi kwenu.
Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao" ?
Biblia inasema hivi,
"Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.
Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu." (Mambo ya Walawi 11:07-08)
Pilipili usoila...wahenga are very wise.Duh.. kumbe... mbona wanakula hawa wenzetu
Na nguruwe je ? mbona Biblia inasema kuwa "Nguruwe ni najisi kwenu.
Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao" ?
Biblia inasema hivi,
"Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.
Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu." (Mambo ya Walawi 11:07-08)
Leo kwenye hangaika zangu za kutwa nzima nikaamua nirudi nyumbani.
Mama watoto hakutaka nitoke hivyo basi akaniambia mechi ya Brazil Vs Mexico niiangalizie nyumbani.
Nikakaa nyumbani nikiangalia mechi mwenyewe kama jini Njabagumu.
Katikati ya mpira nikaona siinjoi chochote, nikaaga kuwa naenda kununua vocha dukani.
Nikaingia taratibi baa ya jirani, nikaagiza Serengeti moja baridi sana, nikaipiga fasta kama mwanariadha aliyetoka kumaliza marathon akutanapo na jagi la maji. Haikunitosha niaagiza ya pili, kabla haijaja mara ghafla mama watoto akapiga simu "vp darling mbona unakawia?" ndio lililokua swali lake, nikamjibu niko na mwenyekiti wa mtaa tuna mazungumzo.
Nikaagiza mbuzi, daima huwa napenda jembe (wataalam wa mbuzi wanaelewa ninachokiongea). Baada ya nusu saa ikawa mezani.
Nikapiga kama vipande kumi, nikaagiza Serengeti nyingine ya baridi.
Nikiwa katikati ya zoezi la pombe nyama, mara wakaingia Polisi wakiwa na sare zao na kuelekea jikoni.
Huko wakawaweka chini ya ulinzi watumishi wote na kufanya msako mkali. Jikoni vimekamatwa vichwa viwili vya mbwa na ngozi mbili.
Na t ayari mie nsha kula huyu kiumbe mlinzi jamani.
KUlia nataka, kucheka nataka, najitapisha sitapiki.
Kuweni makini wenzangu, yasije kuwakuta yaliyonikuta.
Leo kwenye hangaika zangu
za kutwa nzima nikaamua nirudi nyumbani.
Mama watoto hakutaka nitoke hivyo basi akaniambia mechi ya Brazil Vs
Mexico niiangalizie nyumbani.
Nikakaa nyumbani nikiangalia mechi mwenyewe kama jini Njabagumu.
Katikati ya mpira nikaona siinjoi chochote, nikaaga kuwa naenda kununua
vocha dukani.
Nikaingia taratibi baa ya jirani, nikaagiza Serengeti moja baridi sana,
nikaipiga fasta kama mwanariadha aliyetoka kumaliza marathon akutanapo
na jagi la maji. Haikunitosha niaagiza ya pili, kabla haijaja mara
ghafla mama watoto akapiga simu "vp darling mbona unakawia?" ndio
lililokua swali lake, nikamjibu niko na mwenyekiti wa mtaa tuna
mazungumzo.
Nikaagiza mbuzi, daima huwa napenda jembe (wataalam wa mbuzi wanaelewa
ninachokiongea). Baada ya nusu saa ikawa mezani.
Nikapiga kama vipande kumi, nikaagiza Serengeti nyingine ya baridi.
Nikiwa katikati ya zoezi la pombe nyama, mara wakaingia Polisi wakiwa na
sare zao na kuelekea jikoni.
Huko wakawaweka chini ya ulinzi watumishi wote na kufanya msako mkali.
Jikoni vimekamatwa vichwa viwili vya mbwa na ngozi mbili.