TeteteteDem
Demu wa Bar, kakuona mgeni , kajipandishia thaman Kwa kukuambia "Hajiuzi" ili uzame Kichwa Kichwa.
Pengine hujapiga Kwa kondomu
Alafu unakuja humu na unabana puaa 'Nimekula Asiyehusika "...
TeteteteDem
Demu wa Bar, kakuona mgeni , kajipandishia thaman Kwa kukuambia "Hajiuzi" ili uzame Kichwa Kichwa.
Pengine hujapiga Kwa kondomu
Alafu unakuja humu na unabana puaa 'Nimekula Asiyehusika "...
Kho Kho Kho Yaw Yow JeeeshSubiria miezi mitatu utaanza kukohoa![]()
Tena wangu pekeyanguKwa hiyo huyo ameshakuwa wako?
Mkuu ulipigwa hebu cheki hapaakaniuliza kwani una sh ngapi nikamwambia 20 akauliza una chumba? Nikamwambia ewaa, nimefikia lodge ya mtaa wa nyuma tu akaomba niongeze 10 iwe 30 anisaidie.
Itakuwa "Barabara-mbili"!😂😂😂😂Holiday inn au Miami 😂😂😂
Mkuu ngoja kwanza, nimemaliza kazi, najiandaa nikamle tena leo.Demu alisema hajiuzi ila akaamua kujiuza ila wewe ukaendelea kuamini kua hajiuzi.
Ungeipeleka ule uzi pendwa kula kimasiharaNiko Iringa, jana usiku nikatoka kwenda kusafisha macho kidogo, nikafika sehemu ambayo wanapatikana warembo, nikamwita dada mmoja mrefu, maji ya kunde, amevaa miwani, ana hips zamaana na lips fulani hivi amazing...
Alivyo sogea nikauliza bei akaniambia yeye hafanyi hiyo biashara ila kuna mtu anamsubiri pale labda niende bar fulani hatua chache kutoka pale ntapata huduma...
Kabla sijaondoka nikauliza wanakuwa nje au itabidi nishuke niende ndani, akaniuliza kwani una sh ngapi nikamwambia 20 akauliza una chumba? Nikamwambia ewaa, nimefikia lodge ya mtaa wa nyuma tu akaomba niongeze 10 iwe 30 anisaidie.
Ebwanaaeee, Iringa hakuna baridi kabisa labda kama unahangaika na ma blanketi.... Mtoto ni mtulivu sanaaa anajua kutoa ushirikiano tulifanyana sana, badae nikatoka nje kuweka order ya chakula tukala tukaongea, ni muungwana sana.
Badae nikamsindikiza mpaka anapo ishi nikamshukuru kwakuwa amenikarimu sana, tukapeana namba jioni ya leo nitamtafuta tena tuagane maana alfajiri ya kesho naenda Dodoma.