Nimekukumbuka Polepole: You made a terrible mistake!

Alichokifanya ulikuwa ni ujinga Huwezi kushindana na adui Yako mwenye nguvu Pasipo kujipanga na kuwa na mbinu Bora za kumshinda adui huyo
Alikuwa mpumbavu kupindukia, mfumo alioshiriki kuutengeneza na kuutetea umemtsfuna masikini ya Mungu.
Ujasiri wa nzi matokeo yake huwa ni kifo chake mwenyewe.
Inasikitisha sana mwanadiplomasia kupotezwa na hakuna anayehoji kuanzia Serikali aliyoitumikia mpaka chama chake
 
Inasikitisha sana mwanadiplomasia kupotezwa na hakuna anayehoji..
Alipaswa kutambua kwamba Jamii ya watanzania ni jamii ya watu waoga Wakati ukiwa unafanya harakati watakupa bichwa Kwa kukushangilia tu ila ukikamatwa Wataishia kupost #Free pole pole After one month imeisha hiyo 😄

Jamii ya watanzania haipo Tayari Kwa ukombozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…