Nimekukumbuka Marcio Maximo

Nimekukumbuka Marcio Maximo

I miss it " Tupo Pamoja, Tutafika" he had a Vision that we could do it, he went down streets to explore Underground talents. Mimi narudia Nimekukumbuka Marcio Maximo

yaani mkuu kama nakuona vile... unavyoongea kwa uchungu nahisi hata machozi yanakudondoka...
 
Wewe ndio walewale wenye fikra zilizodumaa. Kwa taarifa yako hata angekuja Mournho au Wenga kufundisha simba na yanga siajabu baada ya ligi zisiwe hata 3 bora. Timu zetu hizi kila mchezaji ameletwa na mtu wake hivyo ni wazi atakuwa tu LOYAL kwake na sio kwa kocha.

Kuhusu maximo kutokufanya vizuri Yanga mimi naamini kuwa ni fitina za baadhi ya viongozi na wachezaji hasa wenye majina kutompa ushirikiano wa kutosha kwasababu zao binafsi au kwa maelekezo ya waliowaleta.

Naamini pia kuwa maxiomo kuleta kina Jaja na courtinho alikuwa na makusudi yake, kiufundi jaja ni mchezaji mzuri tu akipata viungo wazuri na wasiokuwa na wivu kumlisha mipira. Tukumbuke kuwa ujio wa jaja na jinsi alivyoanza kufanya vema mechi za mwanzo kabla ya ligi kuanza kulisababisha majina ya kina Ngasa kufunikwa kabisa na gumzo likawa ni Jaja, Jaja. Sasa hii ni hatari kwa mchezaji anayetegemea kulishwa tu mipira na hata kukaba hakabi. Sasa haya ndio yaliyomkuta jaja kunyimwa ushirikiano kutoka kwa Ngasa na wenzake.

Maxiomo pia alikuwa ni mtu wa msimamo hasa akisema au akiamua jambo lake kama kocha basi hakuna wakumbadilisha hivyo ni wazi kuwa kwenye maamuzi yake kuna baadhi ya mambo ya watu yatakwama na ndipo FITINA zinaanza kufanya kazi. Mfano isue ya kaseja na Boban kama sikosei ilijenga chuki kubwa kwa baadhi ya wachezaji, viongozi na mashabiki waliopo nyuma ya wachezaji hawa

Na haya ndio yaliyomkuta Maxiomo sababu ya Fitina na Roho nyeusi ya mtu mweusi.

Lakini ukweli Maxiomo alileta hamasa kubwa sana katika soka letu kipindi kile na nikipindi kile hata tuliona umuhimu wakuwa wazalendo kwa vitendo kwani tulikuwa hatuoni umuhimu wakuvaa nguo yenye bendera yetu au hata kununua flags nakuweka kwenye magari yetu.

Kipindi cha Maxiomo kiwango cha soka la Tanzania kwenye ranking za fifa kilikuwa kinapanda na alivyoondoka tu mshale ukageuza direction kwenda chini.

Maxiomo alichokifanya cha kwanza nikubadilisha mentality za wabongo na hasa wachezaji kujitambua. Pia alijenga spirit ya kizalendo kwa wananchi kuipenda nakui support timu yao ya Taifa.

Ingekuwa like ni zaidi ya mara moja ningekupa likes 100

Yanga na Simba hata umlete Malaika GABLIEL ataondoka na wenda ndio wakashuka na daraja.

Nchi hii inaitaka pepo bila kufa, wanataka mafanikio ya kuamka unakuwa tajiri kama vile upo jumba la Big brother kuigiza maisha kwa miezi mi 3, nahs ndio maana miechezo ya shortcut hii tunashinda maana tunaweza kuigiza kupata mafanikio ya njia fupi

Ndio maana Wauza unga wanaongezeka Tanzania tangu mtoto wa Rais mpk Kajamba nani Manzese, kwasababu tunataka Shortcut hatutaki mafanikio ya Kusubiri.

Ukiona mtu anamuona Maximo so kitu ndio walewale wanaoamini katika U-yanga na U-simba kama ndio kila kitu katika Soka, ndio maana hata katika kuchagua team walitaka muda wote abalance wakitoka wanne yanga basi simba nao wapate wanne

Na tuna bahati tu mshahara enzi hizo alikuwa akilipwa na serikali la sivyo Maximo asinge kaa miaka mingi vile Tanzania

And mimi naandika hivi si kuwa ni mnafiki sikuwai kukubaliana na kuondoka kwa Marcio maana nilijua alipoifikisha timu ilikuwa ni juhudi binafs na msimamo lakin hana vitendea kama maana hatujawai andaa, huyu kocha ilibdi apewe hata kazi ya kukuza vipaji tu

Alikuja hapa si kama mfanyakazi lakn alijitahd kuwa sehemu ya maisha yetu, alijichanganya na kuwa part and parcel

Nimekukumbuka Maximo
 
Ndo maana sasa hivi watanzania wameshaachana na hii mipira ya Yanga na Simba...

Binafsi sioni umuhimu wa kuwa na timu ambayo ina miaka 80 haina hata uwanja wa mazoezi...

Kero sana hii...
 
Napendekeza Stars arudishwe Maximo au apewe hans pluijm .
Hawa watu wanajua saikolojia ya mchezo na saikolojia ya mchezaji mmoja mmoja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom