Habari wakuu
Leo nimeamua kuingia rasmi JF
Kama ilivyo id yaani__"ZEE LA MICHONGO"
Mainly nitakuwa nahusika na fursa na michongo ya pesa
N,B. Forex, cryptocurrency, ponzi scheme, betting ,network marketing(mambo ya egle cash,qnet😁), na UTAPELI NA WIZI NOT ALLOWED.
Nipokeeni.
WORK SMART.