Nimekuja Moshi mara moja, niende wapi usiku huu?

Kuna Meku's bistro round about ya moshi/about....Hugos pia pako poa, au kama unataka kuibiwa nenda malindi club or pub alberto kuna wadada wengi wapo nje kuwa makini
 
Nipo Moshi, nimefika mchana wa leo na kesho asubuhi naondoka. Nimefikia hotel fulani hivi ila pamepoa saaana.

Hivyo, ningependa kuonana na mwanajf yeyote yule aliyepo hapa moshi mjini.

Au, kwa wazoefu wa mji huu naomba mniambie ni sehemu zipi za kwenda kutembea kwa starehe usiku huu.

Karibuni.

Nenda hamia airtel, kale ktmoto cha kuchoma then katulie club Alberto, ukiwa unarud ulpofkia pitia malind bar kula supu ya mkia af ukalale.
 
Nipo Moshi, nimefika mchana wa leo na kesho asubuhi naondoka. Nimefikia hotel fulani hivi ila pamepoa saaana.

Hivyo, ningependa kuonana na mwanajf yeyote yule aliyepo hapa moshi mjini.

Au, kwa wazoefu wa mji huu naomba mniambie ni sehemu zipi za kwenda kutembea kwa starehe usiku huu.

Karibuni.

mkuu tuletee zawadi
 
kuna kijieneo kinaitwa ' MALINDI' nenda hapo mkuu na machangu wapo, au nenda kasino iko Njoro , ila njoro ni vibaka sana ukienda wakikuibia nipm nije nikuokoeee
 
Kuna Meku's bistro round about ya moshi/about....Hugos pia pako poa, au kama unataka kuibiwa nenda malindi club or pub alberto kuna wadada wengi wapo nje kuwa makini

teacher umenichekesha, malindi/ njoro anaweza rudi bila boxerrrrr moshi bana
 
Nipo Moshi, nimefika mchana wa leo na kesho asubuhi naondoka. Nimefikia hotel fulani hivi ila pamepoa saaana.

Hivyo, ningependa kuonana na mwanajf yeyote yule aliyepo hapa moshi mjini.

Au, kwa wazoefu wa mji huu naomba mniambie ni sehemu zipi za kwenda kutembea kwa starehe usiku huu.

Karibuni.

Ningekualika uje Onyonye ukunonze lakini pamebomolewa..............njoo hapa Zumbaland.........tukitoka hapa tuelekee. Meku's...........aiseee........mbona hukuja jana.......
 
Uliza hapo counter east african ilipo kuna nyama ya mbuzi poa sana?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom