Nimekuja Moshi mara moja, niende wapi usiku huu?

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,618
Nipo Moshi, nimefika mchana wa leo na kesho asubuhi naondoka. Nimefikia hotel fulani hivi ila pamepoa saaana.

Hivyo, ningependa kuonana na mwanajf yeyote yule aliyepo hapa moshi mjini.

Au, kwa wazoefu wa mji huu naomba mniambie ni sehemu zipi za kwenda kutembea kwa starehe usiku huu.

Karibuni.
 
Uliza mapokezi, hapo hotelini ulipofikia watakupa details za sehemu za kwenda kulingana na maelezo yako ya unapotaka kutembelea
 
Nipo Moshi, nimefika mchana wa leo na kesho asubuhi naondoka. Nimefikia hotel fulani hivi ila pamepoa saaana.

Hivyo, ningependa kuonana na mwanajf yeyote yule aliyepo hapa moshi mjini.

Au, kwa wazoefu wa mji huu naomba mniambie ni sehemu zipi za kwenda kutembea kwa starehe usiku huu.

Karibuni.

Nenda rombo
 
Kama ningekuwa wale wa pale Kawe au Mwenge njia panda ya chuo kikuu ningekuambia Ushindwe na .........hata hivyo hapo Moshi Ndugu yangu ni pabaya saana...kwenye kumbi za starehe kuna wasichana/wanawake wazuri saana.Ukibahatika kukutana na wa kutoka Machame au Marangu umekwisha.na utakuwa umekwisha kweli kweli.Nikushauri tu achana na starehe za hapo kama wewe ni mgeni
 
Nipo Moshi, nimefika mchana wa leo na kesho asubuhi naondoka. Nimefikia hotel fulani hivi ila pamepo0a saaana.

Hivyo, ningependa kuonana na mwanajf yeyote yule aliyepo hapa moshi mjini.

Au, kwa wazoefu wa mji huu naomba mniambie ni sehemu zipi za kwenda kutembea kwa starehe usiku huu.

Karibuni.

Mkuu kwa sasa kama unataka msosi nenda Makumba kapate msosi safi kwa afya..na kabia ila kwa burudani nenda KAKA's Pub kidogo..then Vegas kama unenda kcmc...then COOL BAR.....ukitaka kukaa zaidi ingia pub albero apo...leo ni jumanne so ukiishia apo sio mbaya mkuu
 
Kama ningekuwa wale wa pale Kawe au Mwenge njia panda ya chuo kikuu ningekuambia Ushindwe na .........hata hivyo hapo Moshi Ndugu yangu ni pabaya saana...kwenye kumbi za starehe kuna wasichana/wanawake wazuri saana.Ukibahatika kukutana na wa kutoka Machame au Marangu umekwisha.na utakuwa umekwisha kweli kweli.Nikushauri tu achana na starehe za hapo kama wewe ni mgeni

Ina maana wageni hawaruhusiwi kustarehe moshi?
 
Njoo Pub Alberto au Kama una mkwanja nikupe namba ya m-bebe wa shanty town akupe company.
 
kama unataka kiwanja kizuri cha hadhi ya juuu nenda meku's
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom