Natumaini hamjambo. Babu Asprin na wengine wote habari za 2015?
Kuna chochote kipya humu wakuu? Vipi fiksi na mikikimikiki ya humu?
Kuna raia 1 kaandika wanaume wa Dar tunaogopa Panyaroad, ati mkoani kwao huwa wanapiga mbiu kwa mambo kama hayo, ujinga wenu wa kupigia mbiu hadi wezi wa kuku kaeni nao huko huko, hebu waje kwangu kama sijawavunjavunja miguu.
Nimekuja kuripoti kwamba bado nipo, maana kuna watu hawachelewi kusema nimekufa au nimebadilisha ID.
Aisayee karibu sana... Lakini mmetutia aiybu Full aibu !! Panya rd. imewafedhehesha juzi !!
kwanini mnashindwa kujiOrganizi na kujipanga nyie vidume wa dar ?