Nimekuja kuangalia chumba!!

Nimekuja kuangalia chumba!!

Triple A

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2011
Posts
766
Reaction score
148
Hi JF, leo nimekaa mahali nikamwona dem wangu flan kipindi nikiwa kijana nikakumbuka mbali sana, kipindi hicho nilikuwa getho na masela wenzangu msela akikamata kitu chake unapishwa ukajiulie kiulaini, sasa siku hiyo nilimpeleka huyu dem getho badala ya kumalizana akaanza kuniambia oooh sijui leo sijajiandaa oooh leo sikuja kwa ajili hiyo mara leo nimekuja kuangalia chumba nk!

Sasa nikajiuliza anakuja kuangalia chumba kwani mimi napangisha chumba? Kweli nimekumbuka mbali sana na nimecheka sana.
 
Tupia na ww ya kwako enzi za ujana wako
 
Ooh nimekuja tu mara moja kukujulia hali na kukusalimia! najiuliza kwani mimi mgojwa? lakini ndo hivyo tena mwisho unaua taratiiibu!!!
 
Mama kanikataza kuingia vyumba vya wavulana huku anavua via2,mara "hata hvyo sikai sana"
 
Aaah mie sipendi hio tabia mbaya huku anakuacha unamtoa nguo moja baada ya nyingine
 
Eti ooh nina haraka, nimekuja kukuona tu wala sikai...baadaye unamgonga kisha analala....asubuhi ooh tukanywe supu!
 
Enzi zangu nilikua sikawizi kabla hajaleta sababu mimi ni mtama tu. Kuangalia chumba mimi dalali wa vyumba? Kudadadeki zao.
 
Kwani uliniita nije kufanya yenyewe hayo? Ha mi ctaki! Mkishamaliza mwanaume ndo wa kwanza kumuamsha oya we mda umeenda utachelewa home! Toka hapo yy ndo anaanza kktafuta dah ujana rahaa! Ila raha zaid vjjin maana misitu kibao wala hakuna kuangalia km pochi inaruhusu dah!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom