Nimekuja KIvingine

Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,941
3,402
Kama vile Chupa Mpya ila kinywaji kilekile, au Mtandao uleule ila jina jipya na mimi hivyo hivyo...

ID mpya, Mdau yuleyule.... Formerly Known as The Kid, Only Kid, Mme wa charminglady MtotoS.i.x.
sasa mtanijua kwa id yangu mpya

msiniulize maana ya C ni nini, we weka chochote kizuri kinachoanzia na C, Cool, Clever, Charming, etc namba 6 imebaki vilevile

Ahsanteni sana
 
Last edited by a moderator:
Nini maoni yako, wadhani hadi tunaumaliza mwaka huu utakua umebadili username mara ngapi ?
Nway we are together again! Nawe fanya uoe! The constituency seat you occupied without legally procedures , remember some people they glanced for !
 
hahahaa, thnx huz kwa kukubali maon yangu! wadau mnajua maana ya hyo C. siri yangu siwambii ng'o. . .
 
Kama vile Chupa Mpya ila kinywaji kilekile, au Mtandao uleule ila jina jipya na mimi hivyo hivyo...

ID mpya, Mdau yuleyule.... Formerly Known as The Kid, Only Kid, Mme wa charminglady MtotoS.i.x.
sasa mtanijua kwa id yangu mpya

msiniulize maana ya C ni nini, we weka chochote kizuri kinachoanzia na C, Cool, Clever, Charming, etc namba 6 imebaki vilevile

Ahsanteni sana

Command 6=Amri no 6=Usizini.
 
Last edited by a moderator:
c
shindwa na ulegee.... hiyo ni Charming 6 kama ulikuwa hujui... imenibidi nitoe siri lol

Yaani wewe mmeo akikupa mkwanja wa dili ukauchimbie zimbo (chimbo)
basi hata akija mgambo akupige mkwarambuzi , utaonyesha chimbo ! Sikwambii akija pongo itakuaje !
 
C6

C=? Hii bado ina utata inabidi utuambie ukweli lasivyo rudi kama mwanzo...uwe mtoto
 
Kama vile Chupa Mpya ila kinywaji kilekile, au Mtandao uleule ila jina jipya na mimi hivyo hivyo...

ID mpya, Mdau yuleyule.... Formerly Known as The Kid, Only Kid, Mme wa charminglady MtotoS.i.x.
sasa mtanijua kwa id yangu mpya

msiniulize maana ya C ni nini, we weka chochote kizuri kinachoanzia na C, Cool, Clever, Charming, etc namba 6 imebaki vilevile

Ahsanteni sana

Uanze kutoa na like basi........sio unakuja kivingine nusu nusu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom