kycheneke Member Joined Nov 3, 2016 Posts 68 Reaction score 34 Nov 23, 2016 #1 Mambo anayo yafanya diamond n kama mtu na degree zake.. Cz anajua kutumia udhaifu wa washndani wake ana jifunza kwa wapinzan wake bt haigii... OUR ICON [emoji109] [emoji109] [emoji109]
Mambo anayo yafanya diamond n kama mtu na degree zake.. Cz anajua kutumia udhaifu wa washndani wake ana jifunza kwa wapinzan wake bt haigii... OUR ICON [emoji109] [emoji109] [emoji109]
davie dee JF-Expert Member Joined May 17, 2015 Posts 934 Reaction score 1,215 Nov 23, 2016 #2 Ngoja waje wenye team zao
Makuku Rey JF-Expert Member Joined Dec 31, 2013 Posts 3,725 Reaction score 4,405 Nov 23, 2016 #3 mh!jamaa anajua,lakini nimemsikiliza mavoko wa kimataifa!!
KING 360 JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 3,002 Reaction score 5,201 Nov 23, 2016 #4 Yaani jamaa kiukweli anajua mpaka anaboa ndio maana kila msanii anajilinganisha na yy uku yy anajilinganisha na wasanii wamambele
Yaani jamaa kiukweli anajua mpaka anaboa ndio maana kila msanii anajilinganisha na yy uku yy anajilinganisha na wasanii wamambele
kycheneke Member Joined Nov 3, 2016 Posts 68 Reaction score 34 Nov 23, 2016 Thread starter #5 david steve said: Ngoja waje wenye team zao Click to expand... Wanapoteza mda kushndana na huyu jamaa
david steve said: Ngoja waje wenye team zao Click to expand... Wanapoteza mda kushndana na huyu jamaa
kycheneke Member Joined Nov 3, 2016 Posts 68 Reaction score 34 Nov 23, 2016 Thread starter #6 Makuku Rey said: mh!jamaa anajua,lakini nimemsikiliza mavoko wa kimataifa!! Click to expand... Yeap yeap ngoma itamtambulisha mavoko nje
Makuku Rey said: mh!jamaa anajua,lakini nimemsikiliza mavoko wa kimataifa!! Click to expand... Yeap yeap ngoma itamtambulisha mavoko nje
kycheneke Member Joined Nov 3, 2016 Posts 68 Reaction score 34 Nov 23, 2016 Thread starter #7 DEOD 360 said: Yaani jamaa kiukweli anajua mpaka anaboa ndio maana kila msanii anajilinganisha na yy uku yy anajilinganisha na wasanii wamambele Click to expand... Yan N R I P kajiandae ya dimpoz
DEOD 360 said: Yaani jamaa kiukweli anajua mpaka anaboa ndio maana kila msanii anajilinganisha na yy uku yy anajilinganisha na wasanii wamambele Click to expand... Yan N R I P kajiandae ya dimpoz