Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,838
Rais Magufuli leo nimemkubali kwamba ni mtu intelligent sana na hii ni kutokana na uamuzi wake wa leo wa kwenda kutembelea Muhimbili uamuzi aliouchukuwa baada ya kwenda kumtembelea kigogo Bi Bisimba aliyelazwa Hospitali ya Aga Khan ambayo ni Hospitali binafsi sasa najaribu kufikiria kilichokuwa kinaendelea kichwani kwa Magufuli ni kwamba kwa hali ya kawaida huyu Bi. Bisimba alipaswa akalazwe Muhimbili Hospitali ya umma, kwanini akalazwe hospitali binafsi hilo swali alijiuliza Rais Magufuli, ndiyo maana akaamua kuunganisha safari na kwenda Muhimbili kutaka kujua ni kwanini?
Ni mtu intelligent tu ndiyo anayeweza kuoanisha matukio namna hii, kwa mtu wa kawaida kama Mbowe anaweza tu kuponda na kufikiri ni kwa ajili ya show lkn swali linakuja kama ni show kwanini baada ya Aga Khan iwe Muhimbili na siyo Sokoni Kariakoo au kwenye Daladala?