Nimekubali kuwa CCM ndicho chama pekee cha siasa

Khaaaaaaa!!ndugu zangu punguzeni munkariii basi najua unahasira nao sema basi tuuu...........
 
Conspiring community of muslims (ccm)
Umepatia kabisa nadhani umesoma historia ys TAA na TANU mpaka hii ccm na umeungana na kauli na maelezo ya mzee Muhamed Said nikweli waislam wa tanganyika wana hisa kubwa na ccm na ndio maana tunashindwa kukiacha chama kilicho asisiwa na wazee wetu na kupiganiwa kwa hali na mali ukisoma mwanzo wa ccm ni TANU na mwanzo wa TANU ni TAA na mwazo wa TAA ni waislam wa Tanganyika waliokuwa wakikosa haki zao za msingi kutoka kwa wakoloni wajerumani na wakoloni waengereza. Bila shaka ccm ni urithi wa waislam wa tanganyika kutoka kwa wazee wetu
 
CCM ni chama pekee cha siasa nchini kilichoanzishwa katika misingi tapeli na kinachoendeshwa kitapeli toka mfumo wa vyama vingi ulipoanzishwa mwaka 1992.
 
Umepatia kabisa nadhani umesoma historia ys TAA na TANU mpaka hii ccm na umeungana na kauli na maelezo ya mzee Muhamed Said nikweli waislam wa tanganyika wana hisa kubwa na ccm na ndio maana tunashindwa kukiacha chama kilicho asisiwa na wazee wetu na kupiganiwa kwa hali na mali ukisoma mwanzo wa ccm ni TANU na mwanzo wa TANU ni TAA na mwazo wa TAA ni waislam wa Tanganyika waliokuwa wakikosa haki zao za msingi kutoka kwa wakoloni wajerumani na wakoloni waengereza. Bila shaka ccm ni urithi wa waislam wa tanganyika kutoka kwa wazee wetu

Na Alhaji JK Kikwete ndio Mufti mkuu!

Sasa mnahangaika nn kukituhumu CHADEMA kuwa chama cha kikabila kama mnajua wazi kuwa CCM ni chama cha kidini?
 
CCM imara

Ccm imekua kimbilio la waasia na wafanya biashara wakubwa,lengo ni nini? Chukua mfano mbunge abood likanganisha na msigwa, 2. Chukua mbunge wa singida mjini dewji linganisha na Lema.Hivi kuna kuhitaji akili ya degree kujua ccm imekua maficho ya wahuni? We mleta mada kuwa na heshima bwana! Naamini mwisho wa ccm ndo huu.
 
Kwa hali inavyoendelea nchini hasa hali ya kisiasa nakiri kwa nafsi na maandiko kuwa chama cha siasa kilichokizi vigezo ni chama cha mapinduzi (CCM) pekee na vingine ni vyama vya wanaharakati na wachumia matumbo ambaokwao siasa ni sehemu ya biashara ya kuendeshea maisha yao.,na katika hili nadhan hakuna mwanajamvi atakayenipinga.

Naomba wanajamvi waje tujadili ni sifa zipi zq chama cha siasa na kwanini CCM ndicho chama pekee cha siasa hapa nchini.

Wewe una zigo la dhambi,ujinga,maradhi na umasikini.Kwa kuwa umeridhika basi endelea kuamini hivyo kwani utapata bk10 hapo Lumumba,moja mbili tatu,kimbiaaaa
 
Mkuu Zumbemkulu ni kweli kama unavyosema kuwa CCM ni Chama pekee cha Siasa za Maji Taka hapa Nchini.
 
Ikulu si mahali patakatifu tena,sasa ni pango la...........,serikali yoyote corrupt haikusanyi kodi itawasumbua tu hawa wafanyabiashara wadogo,
 
Umepatia kabisa nadhani umesoma historia ys TAA na TANU mpaka hii ccm na umeungana na kauli na maelezo ya mzee Muhamed Said nikweli waislam wa tanganyika wana hisa kubwa na ccm na ndio maana tunashindwa kukiacha chama kilicho asisiwa na wazee wetu na kupiganiwa kwa hali na mali ukisoma mwanzo wa ccm ni TANU na mwanzo wa TANU ni TAA na mwazo wa TAA ni waislam wa Tanganyika waliokuwa wakikosa haki zao za msingi kutoka kwa wakoloni wajerumani na wakoloni waengereza. Bila shaka ccm ni urithi wa waislam wa tanganyika.

Jaribu kuwa waelevu na sio kuelewa tu. Ni kweli mwanzo wa TANU ni TAA ila mwanzo wa CCM sio TANU bali (TANU & ASP). TANU, (TANU & ASP) ni vitu viwili tofauti. Kimoja kina asili yake 100% ni TAA na kingine ktk asili yake ni mchanganyiko wa TAA na mchanganyiko wa historia ya Zanzibar. Na utakapokuwa makini utagundua madhumuni, malengo na walengwa wa iliyokuwa TANU sio sawa na hii CCM, hasa unapokuwa unaizungumuzia hii CCM ya majina ya ccm mzigo/mtandao/janga/nk.
 
Kwa hali inavyoendelea nchini hasa hali ya kisiasa nakiri kwa nafsi na maandiko kuwa chama cha siasa kilichokizi vigezo ni chama cha mapinduzi (CCM) pekee na vingine ni vyama vya wanaharakati na wachumia matumbo ambaokwao siasa ni sehemu ya biashara ya kuendeshea maisha yao.,na katika hili nadhan hakuna mwanajamvi atakayenipinga.

Naomba wanajamvi waje tujadili ni sifa zipi zq chama cha siasa na kwanini CCM ndicho chama pekee cha siasa hapa nchini.
ukishaanza na uongo hata katikati ukisema ukweli mwisho utakuwa uongo tuu.
Wanasema False implies True is False na kuendelea.Kwa hiyo wewe ni muongo kabisa.
 
Be serious, acha kuaibisha wanaccm, wajuze watu kwa nn unaamini hilo ukianza tutakusaidia, mwenyewe hata moja hujatuambia unataka sisi tukusaidie nini

kwa kumsaidi tu;ulimboka yuko wapi?kubenea alifanywa nini,kibanda je?sifa za ccm=crisis community manifesto
 
Mshampata aliyemteka Dr Steven Ulimboka?, vp kuhusu kamati ya kuchunguza bomu la Soweto?, mmefikia wapi kuhusu Prof Kapuya?
 
Ilani tekelezi na sera zenye tija kwa watanzania ndio jambo muhimu la kuifanya ccm iendelee kushika hatamu katika nchi hii
 
Mkuu umechelewa sana kutambua kuwa chadema sio chama cha siasa wala hakuna wanasiasa ndani ya chama hiko bali wachumia tumbo wanaotumia saccos yao hiyo ipasavyo.
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom