Miss Parliament
Senior Member
- Jun 27, 2011
- 107
- 48
- Thread starter
- #41
Kweli nashukuru sana kwa ukaribisho wenu.comments nyingi zimenifurahisha kweli kweli,nilishindwa kuingia hapa kwa sababu nilikuwa na kazi kidogo ya kuandaa.Kuna wale walioanza kurusha ndoana,hiyo ni haki ya msingi kabisa.kuna waliouliza kama nimeolewa,hapa nitajibu siku nyingine please!
Tukae tuelimishane,tufurahiane,tutaniane,tujenge uhusiano mwema.jina la jukwaa hili ni positive halina negativity yoyote naamini hapa tutajikita katika kujenga urafiki na kudumisha undugu wetu zaidi.
Kuna mkuu mmoja hapo juu kasema karibu Halima mdee,naomba niseme tu wazi una haki ya kuhisi hivyo kwa kuwa tunatumia ID isiyo rasmi hata hivyo ukiwa makini utajiridhisha kidogo kwa utafiti,Kwa hiyo naomba tu niseme kwamba Mimi SIO HALIMA MDEE.Asanteni wakuu wa jukwaa la Uhusiano/mapenzi na Urafiki