Asante mummy.ila hah!Mama makinda?hapana hauko sahihi
Tutajua itikadi ya chama chako utakapochangia kwa uhuru!Wakuu wa JF,
Nimekua msomaji hapa mda mrefu na hasa kwenye siasa ila nimeamua kuingia rasmi kwa kuvutiwa na hoja kadhaa.Hata hivyo sitawaeleza chama changu ni kipi ili niwe na mawazo huru.Hili jukwaa la mapenzi/uhusiano na Urafiki huwa nalihusudu sana.Tuwe pamoja jamani
mwangalie huyuKaribu sana bibie
Jisikie uko nyumbani...
Umeolewa?
kama bado na mimi niko single we can make a good couple,...
i promise you,hauta regret kua na mimi,...please miss,....
mmmh,ila sina hela kabisaaa
Hata hivyo sitawaeleza chama changu ni kipi ili niwe na mawazo huru.i
Ushakaribishwa sana, umeshazoea sasa, huu ukumbi ni wako mwongozo soma masharti ya JF, longolongo na story za kutunga hazina nafasi hapa, anza kazi