Sijaona option ya kuedit mkuuu...nielekeze naomba inapatikana wapiEdit
Makosa huwa yanatokea. Angalia kama kuna njia ya kufanya ili uweze ku-attach.Msaada msaada msaada!
Namsaidis kuapply chuo UDOM ,
Nimejikuta na submit kabla ya kurekebisha
Nimeruka kipengele cha ku-attach docs...
Application isha submitted. Ntafanyaje