Nimekosea kulipia King'amuzi

Hela ikienda huko ni non refundable, ila utatumia miezi 10 Hio pesa yako, niliwahi kununua vocha ya 300,000 badala ya 30000 nilitaka jiunga bundle la mwezi, Voda waligoma kabisa kunirefund, kwa hasira niliwaunga watu wangu wote wa karibu vifurushi vya mwezi mpaka ikaisha
 
Habari zenu jamani....

Nimelipia Azam kwa kukosea, badala ya 25,000 nimelipia 250,000.

Msaada wenu niwapigia huduma kwa wateja hata haipokelewi.
Kama kulipia Azam decoder ni direct kutoka kwa mteja mojakwamoja kwenye decoder, pesa wanaweza kukurudishia chap maramoja. Ila kama malipo Lazima yapitie selcom ndio yaingie kwenye decoder yako basi kimbembe huwa selcom. Na kwasabb hiyo watakushauri uangalie miezi 10
 
Back
Top Bottom