Nimekosea ku re-apply katika second application ya TCU

daud magigo

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
979
Reaction score
424
Mimi nimesoma PCB nimemaliza mwaka huu,TCU application ya kwanza sikufanikiwa TCU wakanipa nafasi ya pili,kabla sijachagua nika select kwa bahati mbaya kozi ya business ambayo haikuwa chaguo langu.Najalibu kubadilisha nashindwa nifanye je?
 
dah ndgu yangu hapo no option tena,kes kama yako mwaka jana zlitokea kwa wat weng pia walofanya 2nd round,jamaa wakawa wanasema umechagua mwnyewe sio kosa lao,chakufanya subiria transfer window uandke barua au kama iko chuo ulchochagua kina koz unazoztaka utaenda kubadilisha..
 
ndio basi baba ... secand round akunaga kuedit ,,,, ukiomba kwa bahati mbaya unapewamaskudi kabsa...!!
 
mkuu tusubir transfer tu,mi mwenyewe yamenikuta kama yako

Mnaongelea transfer... Toa mfano wa mtu aliyefanikiwa katk kesi yako...system za vyuo vikuu si mchezo mtasoteshwa mpk mgairi..tusubir
 
Mimi nimesoma PCB nimemaliza mwaka huu,TCU application ya kwanza sikufanikiwa TCU wakanipa nafasi ya pili,kabla sijachagua nika select kwa bahati mbaya kozi ya business ambayo haikuwa chaguo langu.Najalibu kubadilisha nashindwa nifanye je?

Kama upo Dar nenda pale TCU kaka. Lakini endelea kujaribu kubadili, mie pia nimefanya 2nd application and my profile allows me to reselect
 
Mimi nimesoma PCB nimemaliza mwaka huu,TCU application ya kwanza sikufanikiwa TCU wakanipa nafasi ya pili,kabla sijachagua nika select kwa bahati mbaya kozi ya business ambayo haikuwa chaguo langu.Najalibu kubadilisha nashindwa nifanye je?

chuo gn☺
 
Nenda remove selection, kwangu imekubal nimefurah kichiz
 
TCU haina uhusiano wowote na umaskn
 
Umechagua kozi na chuo kipi mkuu

haijakubali hapo yaan ile ya mwanzo imeshaseviwa tayari,,hiyo uliyoweka ikaonesha imekubali lakin haijaseviwa...hapo utachaguliwa ile uliyokosea ndo iko sevudi kwenye core database
 
Back
Top Bottom