Nimekosa vya kusoma leo,naomba mwenye soft copy ya PGO swahili version (Polisi General Order) .

Baba Hilo desa linafichwa Kama almasi kwa sasa,maana hampaswi kuyajua yaliyomo Kama yamo.
Kwenye mtandao sijui wamelinasua au hakikuwepo tu toka mwanzo,mmm Ila mwaka huu wasiojulikana wanaoenda kujulikana kweupe labda walifute like janga mahakamani!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…