Cos101
JF-Expert Member
- Sep 16, 2020
- 446
- 1,021
Hongera mkuu, si wengi wana ufahamu huo. Kujiamini ndo kila kitu. Wanawake wanaojielewa are attracted to leadership.Umemaliza yote. Niliwahi kuwa na mahusiano na aliyenizidi pesa, na umri. Nilimcontrol nikaishi nae fresh tu. ni kujiamini tu. Mwanaume silaha ya kwanza ni kujiamini na kuijua nafasi yako kuwa ww ni wa kiume. Baada ya hapo, tafuta pesa mdogomdogo. mwanamke unamcontrol utakavyo.
..Yaan hapo yeye aanze kujijenga mwenyewe pembeni ikiwezekana na ka ujenzi pembeni taratibu bila demu kujua,,siku pakinuka basi taratibu anajongea kwake,huwezi jua inawezekana demu akawa funguo kwa jamaa kutoboa kirahisi!