Gepard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2021
- 291
- 385
- Thread starter
- #141
Kama n ivyo mkuu nipo tayari kuolewaa Ila mwanamke asinipandie kichwani😂Bro kuolewa si kwamba unakaa ndani tu mkuu si unakuwa na kazi zakozinakuingizia hela lakini hazimshindi zile za mwenzako
usiogope kuolewa mzeee ni raha kwanza kunakupunguzia majukumu ya hapa na pale
tuolewe kwa afya mzeee
![]()
