Itafika tu wewe niwe umezidi kuchagua mleta yoyote sisi tutagharamia kila kitu hapo ndipo kauli ya kijua ndio hiki usipo uanika utautwanga mbichi itakufaa
jamani eh mods muoneeni huruma huyu mama mtarajiwa hii post inaama majukwaa tu
nilianza kuiona Habari na Hoja Mchanganyiko
ikafata MMU ikaingia Love Connect leo ipo JF Chit-Chat
kesho itakuwa jukwaa la siasa sijui elimu
au ndiyo mnamtafutia mume kiaina
Japo umenizidi umri mapenzi si umri bali kutambua thamani ya mwenzi wako.Njoo upate tulizo la moyo.Hakika hutojuta kwani ivushayo huwa mbovu lkn safari hukamilika.Utakuwa mikono salama karibu kwangu.