Nimekosa msichana kisa ndevu

hajakubagua bali amepata hofu kutokana na matukio yaliyotokea.....elewa hali halisi tu pole kwakukosa mtoto mzuri katoka mdomoi mwako
Hakika mkuu umeongea maneno ya ki utu uzima sana, hata mimi ndio nilichokiona maana tulishakubaliana vema kabisa
 
Pole sana mkuu!! Ulimwambia kwenu ni Daslam mji wa lawama nini?? Nahisi tatizo sio ndevu mkuu huenda hapendi tu wanaume wa dar si unajua matatizo yenu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kifo mkuu kinaogopwa sana. Mtu akiona viashiria hata kama siyo vya ukweli lazima hofu imjae.
Nyoa...
Hahah ni kweli maana hata nilipokuwa nikipishana na maafwande walikuwa wakiniangalia kwa jicho la husda
 
Pole sana mkuu!! Ulimwambia kwenu ni Daslam mji wa lawama nini?? Nahisi tatizo sio ndevu mkuu huenda hapendi tu wanaume wa dar si unajua matatizo yenu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] unataka kuongeza tatizo juu ya tatizo wewe
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] unataka kuongeza tatizo juu ya tatizo wewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] just kidding mkuu, though nasikia sana vijana wa Daslam wanakapigwa vijembe sana humu ndani!
 
Hujui Mungu alikuepushia nini hapo! wewe mshukuru Mungu kuwa yote ni Heri!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] just kidding mkuu, though nasikia sana vijana wa Daslam wanakapigwa vijembe sana humu ndani!
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…