Aisee!! Pole sana ndugu, bt nina kakibanda kangu ka kuburn CD hapa. Ninahitaji msaidizi kama huko tayari PM ujishikize shikize kwa muda.
Najipa moyo labda siyo ridhiki ndugu yangu
Kumbe ile ndo namba yako ya simu?Usijal nashukuru kwa kunitia moyo
Ni uboya ur not seriouz na mambo yako at all, utasugua sana bench