Nimekosa diploma ya ualimu, naombeni ushauri kwa hili

pole sana mkuu but kwa ufaulu wako unapata jalibu kwenda chuoni moja kwa moja coz kuna kuwaga na nafasi fanya faster ukikosa rudi private. huko hukosi ni pesa yako tu.
 
tumia cheti cha 4m4 kwani ni kizuri sana soma laboratory technician coz, level 4. ukipata kaz utasoma dip. (level 6) ya maabala kwa ktumia matokeo ya chet (equivalence) then university. watu wanatoka kaka.
Habari za asubh naomba unisaidiye chuo kina toa labor story techinian kama unakijua lakin
 
Back
Top Bottom