Nimekosa diploma ya ualimu, naombeni ushauri kwa hili

kikoremway

Member
Sep 27, 2017
31
3
Nimekosa first na second selection kwa upande Wa diploma ya ualim Wa sayansi kwa form 4 Nina credit ya 1.9 ( chemistry C,biology C,geography C,physics D, kshl C Language C ,CVS C na mathematics ni F) na form six Nina three ya 14 ambayo ni (chemistry C, biology E, na geography E) naombeni ushauri cjui tatizo nin na nifanyaje
 
Nimekosa selection kwa upande Wa diploma ya ualim Wa sayansi secondary form four Nina credit ya 1.9 (chemistry C,biology, C ,geography C ,phycs D ,kishl C,lagoji D,civcs C na mathematic F) na form six Nina three ya 14 (chemistry D ,geog E,na biology E) nimekosa first na second selection sijui tatizo nin naombeni ushaur labda tatizo nin na nifanyaje
Soma private....
 
Kwani second selection taƴari..???
 
Nimekosa first na second selection kwa upande Wa diploma ya ualim Wa sayansi kwa form 4 Nina credit ya 1.9 ( chemistry C,biology C,geography C,physics D, kshl C Language C ,CVS C na mathematics ni F) na form six Nina three ya 14 ambayo ni (chemistry C, biology E, na geography E) naombeni ushauri cjui tatizo nin na nifanyaje
pole sana, umefaulu vizuri nahisi itakuwa bahati mbaya tu
 
Fanya yafuatayo, nenda chuo unachotaka kusoma, hicho cha serikali, kaombe nafasi, kwa maana zinakuwepo kwani si wote watakaokwenda kusoma, chuo watakuingiza kupitia institution panel, hivyo utapata nafasi, huwa zinakuwepo nyingi tu, kama upo dar, nenda hapo morogoro, Luna vyuo vingi vya uwalimu. plz fuata ushauri huu,utaiyona nchi ya ahadi.
 
Lakini kwa second selection sina uhakika kama zime toka nilisikia tu nikajaribu kufungua ikawa INA kataa sa cjui kama kuna MTU kaziona kama wametoa
 
Asante sana tembo wangu nipo Kondoa kwani kwa huo mfumo Luna aliye Fanya akafanikiwa na Luna vio niliona Luna nafansi zipo wazi niliangalia kurasa za nectar katika slot available cjui kama ni kweli
 
Labda umeomba diploma kupitia vyuo vikuu, kama ni vyuo vya kawaida vya serikali na ukaomba kupitia NACTE mbona ungepata ufaulu kwa huo, mimi kuna niliyemfanyia maombi NACTE na ufaulu wake kwa olevel upo sawa na wewe ila alevel wako ni mzuri zaidi kwani huyo ana chemistry E, biology C,geography E, Bam F na amechaguliwa Kleruu diploma ya waalimu wa sayansi tangu tar. 25/9.
 
Back
Top Bottom