Nimekoma

elias godfrey

Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
35
Reaction score
6
me ni kijana mtanashati am model nina tabia ya kutuma namba yngu kwenye radio na kutafuta marafiki wa kike niliwapata wasichana wengi tu wengine niliwatongoza baadhi walikubali na wengine walikataa wale waliokubali nikapanga nikutane na mmoja badala ya mwingine hao nilikutana nao haikuwa type yngu niliporudi hme nikawachana wote nikawaambia hatuendani kabisa nimekoma kutuma namba yngu kwenye radio
 

aisee, kwan sh ngapi kuwa type yako?
 
Ebu kua huko!
Ndio umebalehe nini?!
Genye tu zinakusumbua!
Utakufa kijana na sifa eti model

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
kwan we unajionaje??? cute ndo nini sasa??? Na hao type yko ulitaka uwapate wap??? Ingia kitaa usake. Wenzio wanasaka ela we kasake madem sawa cute guy???
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…