Nimekoma sizami chumvini tena

Nyie ndio mnaaondoa maana kamili ya MMU, kila siku mnakuja na hadhithi za kutunga mpaka mnachosha kwa kweli
 
Duh we noma rudia tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utajikuta umeachwa stendi mtupu.... Unajiondoa stresss na kungonoka .....[emoji16][emoji37][emoji37]
 
Hahaha......ulijua upo wapi? Hlf siku hiz umeadimika km miguu ya nyoka
nimeibiwa simu mkuu daaaaaaaaaaaah sina hamu ntainuka j3 kwenye muda wa mwajiri halaf jf siku hizi hainogi hata kidogo
 
Jamani nina hali mbaya kiuchumi nitumieni hata mia 5 mia 5 jamani nakufa na njaa mwenzenu.
 
nimeibiwa simu mkuu daaaaaaaaaaaah sina hamu ntainuka j3 kwenye muda wa mwajiri halaf jf siku hizi hainogi hata kidogo
ooh! pole sana mkuu, natumai umefanikiwa kununua nyingine lkn au tukuchangie?
 
Yaani ukaanza kula papuchi ya mwanamke uliyekutana nae Bar. Aisee ni mmelogwa au? Duh kuna watu hawanaga kinyaa!!
 
Jamani nina hali mbaya kiuchumi nitumieni hata mia 5 mia 5 jamani nakufa na njaa mwenzenu.
Aliyekwambia ukifungua thread JF umepata bingo kakudanganya. Kaendelee na deiwaka, utapata zali japo la mia 5. Kwa heri. Nyambaf!
 
Wadutya ndo wapi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…