Nimekoma sizami chumvini tena

Ulivyo mshamba mshamba na story zako za kutunga lazima uibiwe hata ndotoni
 
Kichwa cha habari na maelezo hayaendani kabisa,
 
Mstari wa mwisho umenichekesha hadi bidada kaamka
 
Chumvini kwa baamedi,humjui hakujui! Yataka moyo sana...wewe una kipaji hujijui tu
 
Pure kahawa yani original kabisa...
 
Usilalame..... Umevuna ulichopanda.... Inaonekana uzembe wako umepitiliza.... Yaani mwanamke wa kumuokota bar unazama chumvini.... Afadhali alivyokuibia... Maana amekusaidia kukukomesha ujinga huo. Kama angekupa fungus wa mdomo???
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji3][emoji3][emoji53][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nimecheka mpaka mbavu zinauma endelea kuzama chumvini bwege ww
 
Watu kwa kuandika post za ajabu ajabu,,, au ndoo kutafuta kick? Halafu utunzi wenyewe hauna mantiki,,,,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…