Nimekoma,nimeumbuka..innocent me!

paparazzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2013
Posts
572
Reaction score
145
:::::salutation:::::

Kwanza kabisa nitangulize ombi la MSAMAHA...

Wana MMU,kwa heshima yenu najishusha chini ya miguu yenu,kwa roho ya ukunjufu kuomba msamaha....
Ni busara wala si upumbavu kuomba msamaha,na nina amini ninyi kama wanadamu mutanisamehe...

Sijui nisemaje,nahisi bado sitaeleweka,but all in all ni kwamba sikuwa na nia hiyo ambayo mliniandamia....

Labda nilikosea kuframe mada,nilikosea presentation ya mada, nilifanya kosa kubwa la kujivika uhusika wa uyahaya ama labda nilitumia mafumbo magumu...

Nadhani almost 98% ya wachangiaji,waliipokea mada tofauti ba nilivyotarajia, meaning that ni mimi mwenye makosa wala si busara kuwashtaki wachangiaji...

Waungwana,maomba munielewe,kama na hapa nisipoeleweka basi nitakuwa na matatizo....
Kiuhalisia nilikuwa najaribu kuwaasa wadada hasa wachuo kwamba wapo watu anaotumia pesa zao,tena kwa gharama yoyote kupata papushka,tena mbaya zaidi wakijua fika kuwa wamebeba kidudu,na hawahoni ajabu kusambaza NGOMA kwa kukusudia.....

Najua wapo ambao bado hawatanielewa,na kuendeleza kumwaga matusi, lakini watambue kuwa hakuna mwanadamu asiyekosea....

Narudia tena na tena kwa msisitizo NAOMBENI MSAMAHA WA DHATI, sikuwa na nia mbaya wala tofauti na maadili ya kitanzania,nilikua najaribu kualart kuwa ukimwi upo....

Nataraji mtakuwa mmenisamehe bureee....

Sijui ni kivipi naweza kuiupload ile thread,ili ambao hawaelewi namaanisha nini kuomba huu msamaha waelewe vizuri...

Nisameheni waungwana plz plz plz nieleweni kua sikuwa na nia ya kuchafua maadili ya jf...

"To err is human,to forgive devine"
 
Nilikuwa nikuweke makwenzi.......uliniudhi sana......lakini nimekusamehe.......na usirudie tena.......
 
Nilikuwa nikuweke makwenzi.......uliniudhi sana......lakini nimekusamehe.......na usirudie tena.......


Thanks friend,nashukuru kwa kunielewa....
Be blessed...
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Never apologise for speaking your mind! Your responsible for what you say nt what they understand and always remember those who matter don't mind and those who mind don't matter


At times its wise to be humble,polite and with prudence...
We're living in a society that we need to live happly with each other,thats why nikasema si kosa wala upumbave kuapologise....

Hope umenisamehe....
 
At times its wise to be humble,polite and with prudent...
We're living in a society that we need to live happly with each other,thats why nikasema si kosa wala upumbave kuapologise....

Hope umenisamehe....



Lol ts a bad character to apologize for your own opinion


Mimi hukunikosea, nakukubali mtoto wa kishua mboga nane hahhahah
 
Lol ts a bad character to apologize for your own opinion


Mimi hukunikosea, nakukubali mtoto wa kishua mboga nane hahhahah


Lol...mboga 8 toto la kishua ain't my quality...

Poor me, nategemea heslb wacheuwe ndio nimeze....

Hata mimi nahisi sina kosa kimaadili, bali nilikua na kosa la presentation, ambayo nayo si mbaya kuapologise....

10x kwa kugundua kua sikutenda kosa/dhambi.
 
Ni post gani hiyo uliyokosea mkuu mbona sijakupata , jaribu kumuomba BAK atuwekee link ya hiyo post
 
Last edited by a moderator:
mie nimekuelewa ila siku nyingine its better ukajua nini cha kuongea na wapi kwa kuongea
Asprin uko wapi mjukuu wako anakuita huku
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…