ww utakuwa huna trak.... aka shapeeMuda wote wanawake tu kuangalia kazi mnayo
Uturukiiiiiww utakuwa huna trak.... aka shapee
Jibu kiumeSwali gumu Hilo
Nyegezi ulifika?View attachment 2573273
Yamejazajaza au vimbau mbau ?Nilifika mkuu nikaenda mpka mkolan…. Kote ni yaleyale…..then ni mogul yote yan
EeeAiseee
Njoo hapa City Centre Igoma., maua ya dunia yapo kwenye taiti tu.,Habari wakuu! NIMEKOMA, nimekubal!
Najiuliza maswali! Kila Napita ni balaa, Kila ninayemuona ni shiiida, ni kwamba hawa watu wana kula tofaut?? Nilidhan Labda ni nyashishi tu….nikaenda kakebe Yale Yale! Nikaenda Mecca yaleyale! Nikasogea mabatini ndo balaa…nkatembelea usagara ni balaa… nikaenda pasians yaleyale.. nyakato ni balaa kwakwel I nmekubali wana wake wa mwanza wamejaaliwa shep…. 90% wamejazia Unaweza Sahau kurud Dar
NIMEKOMA, NIMEKUBALI
Ila Mwanza inakua kwa Kasi saana, igoma zamani Ilikua ni pori buhongwa huko palikua nje ya mji zamani totozi zilikua zonapatikana pale makoroboi, vitunguu (walipobomoa Soko kuu), the kiss Lakini sasahivi Hadi igoma Kuna pisi duh?Njoo hapa City Centre Igoma., maua ya dunia yapo kwenye taiti tu.,