Nimekoma kuzini hovyo

Nimekoma kuzini hovyo

Nipimeni nikiwa nimepoteza fahamu nisijue tofauti na hapo sipimii ng'o mpaka nafa nikikumbuka mwaka Jana nilikua na katabia ka kwenda kununua papuchi hua naogopa

Kwanzaa sina nilikuwa natumia dhana
 
Nipimeni nikiwa nimepoteza fahamu nisijue tofauti na hapo sipimii ng'o mpaka nafa nikikumbuka mwaka Jana nilikua na katabia ka kwenda kununua papuchi hua naogopa

Kwanzaa sina nilikuwa natumia dhana
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mi mwenyewe nlkua nasema hivo
 
Kwanza namshukuru mwenyezi mungu, aliyenipa nguvu ya kujimwambafy na kuandika hapa.

Takribani siku 3, nlkua najiskia homa kidogo kama uchovu, nasi ndipo nlipochukua hatua ya kwenda hospitak ila cha ajabu, homa kwa mbal waga inakuja mchana japo saivi imeacha.

Asbui nafika hospital sikua na homa ata kidogo ila kwa sabau ni free service ikabidi niwasumbue kidogo, nkapima damu na mkojo, mkojo wenyewe mweupeeh, na damu nkachukuliwa.

Baada ya mda majibu yakaja sina maralali nkapewa panadol, ambazo ata sahivi ukisema nkuoneshe panadol moja sina, zimepotea potea, Ikabdi nijututumue kidu.e nkapime HIV.

Ile namwambia muhudumu anipime, mara akaniulza unaishi wapi, miaka, na nani uanataka umshrikishe majibu, hili swali liliniyumbisha, nkwambia kaushia ntapima mtaani, akanishawishi na kinisihi nipime, nkakubali, nkachukuliwa damu, nkarudiaha majibu kwa daktari, Ewaaaaaaaaaaaaaahh...

Sina ukimwi wala nini nazani ndo itakua mara ya kwanza na ya mwsho kupima kwa hiari labda itokee emergency, yule daktari alikua wa kike basi katabasamu, tukapga story mbili tatu, saivi kuna mdada ambae natamani kutulia nae, Na sasa hivi nakoma kusex hovyo, na chaputa siko, Mi ni mvivu wa kutumia kondom, bas nmeamua ntulie maana ndo kwanza naanza maisha.

Wale mabahari wa nchi kavu, kazi njema, kijana mwenzenu, kula watoto lazima ila ntapunguza, na sasa hivi nina mpenzi mmja ambae karbia tunakubaliana kuwa wote ila sio kuishi wote nampenda sana. aggy
Tangazo makini sana wengi hawawezi kulielewa,

aggy mkubalie tu mshikaji hana gonjwa lolote kama anavojimwambafy
 
Tangazo makini sana wengi hawawezi kulielewa,

aggy mkubalie tu mshikaji hana gonjwa lolote kama anavojimwambafy
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Dah mkuu asbui yote hii
 
Mimi nilishasema siku ikitokea nikafanikiwa kupima ukimwi na nikawa sina basi ntatulia na ntatumia condom.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom