nimekoma kutongoza jf!

Loh. . . . Haya bwana! itabidi Bishanga uweke list ya watu ambao umeshawatongoza hapa JF

Anza wewe bishanga nitamalizia,au vipi mkuu hutongozi wewe jamvini?
 
Last edited by a moderator:
Kabla hujanisimanga mimi nambie kwanza nitts hajambo? Vin hajambo? Niendelee na oroza?
 
Last edited by a moderator:
Hayo ndo matatizo ya tamaa nyingi Bishanga! Ukipata unatulia na huyohuyo mpaka mwisho wa JF.Kwa mfano mimi. Nimeshampata Erotica sitoweza kutazama pembeni tena labda anifanyie uchizi.

Utayaweza manjonjo ya erotica weye?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…