Nimekoma kuazimisha gari

Daah gari siazimi aisee kuna siku niliazima mshkaj akaenda nalo kwenye harusi sijui wkt anarudi ilipiga jiwe/bonde gani aisee halafu alikua kajaza wacheza show kwenye altezza yani kaja anatembelea rim maana tyre ilikua nyang'anyang'a alikua anaburuza na wote kwenye gari wamelewa yani gari inatoa harufu ya kuungua kwa kutembelea tair isiyo na upepo nilisema sentensi moja tu SHUKENIII
 
Mlipishe au unamuogopa Ana siri zako za ugoni atamwambia mkeo?
 
Hakuna Gari Yenye Mkosi Kama Subaru, hizi ndio znaongeza kwa kupiga mizinga na kuwavunja viuno ma sharobaro
NYINGI HUFANYIWA MAPENZI NDANI YAGARI NJOO sinza UONE WAMBIEWATAISHA
 
Dah, hayo maneno yake yanachoma balaa. Mkopo unaitesa familia na huo usafiri ndo hivo umeshayeyuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…