DaahDunia nzima inacheza mziki wa corona kwa kweli. Mungu atusaidie, sio mchezo kuna watu watayumba sana. Ndo maana minikipataga mshiko napiga zangu maji tu.potelea mbali itafahamika mbele kwa mbele
Sent using Jamii Forums mobile app
Muda wa mavuno ni kuanzia September.Usihofu bwana kwani unavuna muda huu, Si bado? Corona itaisha mambo yataendelea kama kawaida,
Wanaostruggle ni watu waliokuwa wanasafirisha bidhaa kwa ndege Hali ni mbaaya Sana kiukweli.. Avocado, mboga nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Usihofu bwana kwani unavuna muda huu, Si bado? Corona itaisha mambo yataendelea kama kawaida,
Wanaostruggle ni watu waliokuwa wanasafirisha bidhaa kwa ndege Hali ni mbaaya Sana kiukweli.. Avocado, mboga nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Amini nakwambia wala bata wengi ndo watowaji wakubwa wa sadaka.Daah
Komenti yako na ID yako inaonesha wewe pepo yako ipo hapahapa duniani. Ful kuwatafuna.
Sent using Jamii Forums mobile app