Nimekimbia usela na ubachela bila majuto

Nimekimbia usela na ubachela bila majuto

Mi mwenyewe nina bwana so tufanye kubadilishana tu🤣🤣🤣🥴
Tubadilishane sijakuelewa hapo ????
Wee atupelee yaani unataka mwanaume awe na mwanaume, mwe mwe mwe
wanyakyusa.jpg
 
Ndoa siyo ngum km unavofikili brooo....mwaka wa 13 huu nainjoi balaaa yaan huyu kaka hata akisafiri ucku mmoja najisikia shiida saaana,km una ndoa ngum pole hukubahatika
Time time time umeandika kwa hisia ila huo sio uhalisia wa ndoa yako huna huwezo wa kupenda hivyo wewe hata uandishi umekukataa
 
Nawatakia kila la heri katika kutafuta mwenzi sahihi na kuunda familia yenye baraka. Endeleeni kusonga mbele kwa imani na matumaini, na hakika mtafikia lengo lenu. Tukutane kwenye upande mwingine wa ubachela, na tuwe na furaha tele pamoja!

Asante na Mungu awabariki!"
Amina...🙏🙏🙏....

Kila laheri kwenye hatua yako nzuri
 
Back
Top Bottom