Mie napaka rangi Mageti na Madirisha.
Heheheheh napita mie
ila huku uwe makini zaidi,huku ni hatari zaidi,mfano hapo juu kuna kibibi kina miaka kama 72 kimekuganda kinajifanya kina miaka 22!!!!teh teh teh!jf raha
hongera sana kwa akzi nzuri. yaelekea mwenzangu wewe unakipaji hasa na pia maisha sio mabaya sana kwako.
haya niambie unampango wa kujenga kwanza?? mm naish nyumba ya kupanga manzese kwa mfuga mbwa.......
oh! karibu sana sana haya sema
mm nipo hapa toka mwaka jana natafuta kijana wa kunioa lakini sijampata.
niambaie kwanza elimu, kazi na umri
cc. gfsonwinNdio huyu wangu tu.
Kiufupi maisha kwangu ni magumu sana, naishi kwa mshkaji tu, lakini tukiwa pamoja tunaweza jenga.hongera sana kwa akzi nzuri. yaelekea mwenzangu wewe unakipaji hasa na pia maisha sio mabaya sana kwako.
haya niambie unampango wa kujenga kwanza?? mm naish nyumba ya kupanga manzese kwa mfuga mbwa.......
Doh kumbe ndio wale wale wa FB!ila huku uwe makini zaidi,huku ni hatari zaidi,mfano hapo juu kuna kibibi kina miaka kama 72 kimekuganda kinajifanya kina miaka 22!!!!teh teh teh!jf raha
teh teh teh!! Naona Mkuu umeingia JF na speed 120. Kila la kheri katika kutafuta mke
Doh kwangu maisha ni magumu sana, then naishi kwa mshkaji tu, sijafanikiwa kupanga, ila tukiwa pamoja tunaweza jenga mpenzi wangu.
usijali wangu sasa kwani hilo heto unaloish na mshkaji liko wapi??Kiufupi maisha kwangu ni magumu sana, naishi kwa mshkaji tu, lakini tukiwa pamoja tunaweza jenga.
oh! karibu sana sana haya sema
mm nipo hapa toka mwaka jana natafuta kijana wa kunioa lakini sijampata.
niambaie kwanza elimu, kazi na umri
Mbona ulikuwa kimya cku zote hizo? waowaji tupo wengi.
Doh kumbe ndio wale wale wa FB!
Wee mwenyewe uko ki fb.
halafu weweee kwanza nani kakuita hapa??
usinipeperushie kidege changu hiki mwone kwanza.
kwanza nenda kabembeleze mtoto analia huko halafu niliskia mama analalamika eti anataka mtoto azibuliwe maskio.......
usijali wangu sasa kwani hilo heto unaloish na mshkaji liko wapi??
je utaniruhusu nije kukutembelea?
Mie naomba niwe mpiga vigelegele tu si unajua siku hizi kila kitu unachangamka mapema lol.huyo wako kabisaaaaaaa,
hana ujanja na hatoki hapa..... lazima umkamatia kisawasawa
kweli nakuona rafiki umeshajipatia hapa..... mi na-book u-matron
duh,jf hatareeeee,ni kweli niko home na mtoto analia!we jirani yangu nini?
huyu asikutishe laazizi wangu, kwanza yeye mke alimpatia hapa hapa jamvini na harusi tukamfanyia tena ikapita baharini.
juzi walipata mtoto tumemfanyia sherehe ya ubatizo pale friends kona manzese halafu anakukatisha tamaa wewe........
mwaya mm niko siriazi kabisa