Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
huyu wako rafiki, komaa naye utafika tu mwaka huu.....oh! karibu sana sana haya sema
mm nipo hapa toka mwaka jana natafuta kijana wa kunioa lakini sijampata.
niambaie kwanza elimu, kazi na umri
Nawatakia kila la heri dada gfsonwin na kaka Kirikou Wa Kwanza
Kaka umepata mke... yaan ni mrembo aliwahi kuwa miss manzese mwaka juzi!
huyu wako rafiki, komaa naye utafika tu mwaka huu.....
karibu utoto uache kule kule :kev:
asante sana mamii...........naona leo nyota ya jah imenidondokea. Kirikou Wa Kwanza njoo laazizi wangu tuendelee kabla hatujaingia chumban
asante sana mamii...........naona leo nyota ya jah imenidondokea. Kirikou Wa Kwanza njoo laazizi wangu tuendelee kabla hatujaingia chumban
umri miaka 23; Kazi mpaka rangi. Elimu form IV
huyo wako kabisaaaaaaa,asante rafiki ila sijui kwann hanijibu mweeh!
ngoja niwe mpole nimbembeleze lolz! kirkou wa kwanza laazizi njoo basi wangu??
kumbe tumelandana kabisa.
wewe unapaka rangi viatu ama nyumba??
mm nauza steshenari ya mtu ila pia ninauzoefu wa kupia kwenye mgahawa na kuuza chakula.
nenda ukamuoe Karaba
Ndio huyu wangu tu.huyo wako kabisaaaaaaa,
hana ujanja na hatoki hapa..... lazima umkamatia kisawasawa
kweli nakuona rafiki umeshajipatia hapa..... mi na-book u-matron
Kiufupi nipo serious jamani, pia sina kazi. Elimu yangu ni kidato cha IV.
Nakuja saa hivi, ila mwenzio naamanisha sana. So usinizingue tafadhali!