Nimekimbia FB nimekuja JF.

Kirikou Wa Kwanza

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2013
Posts
3,564
Reaction score
1,992
Nimekimbia FB, nimekuja JF, lengo na madhumuni natafuta mtoto mzuri wa kuoa, lakini asiwe na tabia za ki-FB, FB.
 
hata mm niko siriaz.
elimu yangu darasa la saba ila nafanya kazi ya kuuza steshenari hapa manzese.
pia nina ujuzi wa kupika wewe unaujuzi gani??

Doh ujuzi me ninao mwingi tu, ushindwe mwenyewe.
 
Kidato cha nne kikubwa sana hicho mbona mie nliishia la 6A lakini nilipata mke???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…