Nimekereka Sana Leo

Shenzi tu mume wa mnyama nafuu yaani anitafute mume mwenyewe kapinda kiuno
Nakumbuka mwaka 2003 nilikuwa na rafiki yangu mfupi kama debe lakini mishiko kila wiki anakamata za kutosha.

Kuna demu alinipa viapo vyote kwamba hawezi kumvulie chupi jamaa yangu siyo type yake, nikamfikishia muhusika ubuyu jinsi demu anavyomponda.

Basi baada ya kama mwezi mshkaji alinipigia simu SAA 10 usiku wapo lodge Sina na akanipa simu nimsalimie Shemeji kumbe ni yule demu mjivuni.

Post yako hii imenifanya nikumbuke kile kosa, huwezi kuweka kiapo kwa mwanaume, hizi hadithi waeleze Watoto wadogo.

Diamond aliyeimba mbagala hakuna mtu angeamini Zari anaweza kuja kumvulia chupi na kumzalia Watoto.

Money power & respect.
 
Wapi??
Huyo anahela Sasa huyu Hana
 
So sina nyumba..., so kuna zenye room mbili.., so kuna huyo dada kaolewa... Yaani nimechoka na hizo so, so kabla sijamaliza hata kusoma. Ila, samahani, mimi nahisi wewe ndio chanzo cha tatizo kama siyo tatizo lenyewe. Msema kweli mpenzi was Mungu.
 
Umearibu ulivyosema kachaga nilitaka ninunue ugomvi 🤣🤣 sisi wachaga hatujui choo ya kukalia kweli sisi
 
Aisee, sonona is real wakuu.

Dada anahitaji msaada wa haraka apate mume, maana kajitahidi sana ila wadau mnampotezea tu.

Dada wadau wakija pm usiwe mgumu kwenye swala la utelezi sasa sawa.

Wadau mi nshawapigia pande nendeni dm sasa, kila kitu nsharekebisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…